Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kivipi?

Ni hayo ma steroids wanayojidunga ama?
Wanasayansi wamegundua kuwa baadhi ya wanaume hupunguza uwezo wao wa kupata watoto kutokana na jitihada zao za kutengeneza miili ya kuvutia .

Mwanaume anayetumia dawa za kuzuia upara kichwani au anayefanya mazoezi ya kutunisha misuli kisha kuongeza na dawa anaweza kuwa anapata maumivu ya kichwa wakati wa tendo la ndoa na mbegu zake kushindwa kuwa na uwezo wa kuzalisha.

Dkt James Mossman, kutoka chuo cha Brown kilichopo Marekani ameiambia BBC kuwa : "Wanaume wanajaribu kutaka kuwa na muonekano mkubwa, huku wanajisababishia madhara ya afya ya uzazi"
 
Asante kwa ufafanuzi bro...
 
Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs 200,000 tu alafu umsamehe hiyo nyingine kwakuwa kwa sasa una ukata na matatizo na una uhitaji na hiyo hela.

Rafiki yako huyo anakuambia anaweza kukupatia tu Tshs 150,000 kwasababu ndio kiasi alichonacho. Unaona huna namna zaidi ya kukubali tu kiasi hicho. Unampatia details zako za benki na account namba akutumbukizie humo.

Kuamka asubuhi unatizama kwenye account yako unakuta kuna Tshs 1,500,000[emoji15][emoji15] Unatizama tena kwa makini huamini unachokiona lakini bado kweli ni Tshs 1,500,000.

Unatizama vizuri simu yako unakuta missed calls 53 na meseji 27 akiomba umrudishie Tshs 1,350,000 kwasababu alitaka kutuma tu Tshs 150,000 lakini akakosea akaongeza 0 moja.

Wewe ungechukua maamuzi gani?

1.Utamrudishia kiasi anachoomba urudishe Tshs 1,350,000?
2.Utachukua zile zako unazomdai Tshs 400,000?
3. Utachukua zote Tshs 1,500,000.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…