Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mke alimwambia mumewe, "ukimaliza kumwagilia bustani nina maongezi na wewe, kuna kitu nimekiona kwenye simu yako".[emoji2950][emoji22][emoji22]
Tangu asubuhi jamaa bado anamwagilia bustani. [emoji23][emoji28]
Tangu asubuhi jamaa bado anamwagilia bustani. [emoji23][emoji28]