myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!![emoji848]Mnaonaje wanawake wa humu wote tukiwapa mimba halafu watoto zetu waje kuendeleza huu uzi?
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji16][emoji16][emoji16]
Rolo modo wangu hana makeke wala mbwembwe siku hizi. Mpoleeee kupitiliza yaani hata raha hakuna tena. Hovyo kabisa !!![emoji125][emoji125][emoji125]Nasubiri jibu la rolo modo wako, ankoo angu kipenzi...
Hebu rusha na lile jamaa lenye kichwa cha ng'ombe linalonesa nesa kwa madaha. Nimelitafuta sana [emoji16][emoji16][emoji16]Popote alipoView attachment 1110644
Jioni iwe njema kwetu wote
Wapi majirani wapotevu...
[emoji848]Mnaonaje wanawake wa humu wote tukiwapa mimba halafu watoto zetu waje kuendeleza huu uzi?
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji16][emoji16][emoji16]
DEREVA mpenda Ngono alimpa lifti SISTER wa Kanisa. kila akibadili Gia Mkono wake unagusa Paja la Sister. Yule Sister akamwambia soma "Mathayo 7:7 DEREVA kusikia hivyo akaacha kumgusa huku akijiuliza Mathayo 7 inasemaje?. Alipomfikisha Kanisani, Jamaa karudi nyumban akachukua Biblia na kupekua Mathayo 7:7 na kukutana na Ujumbe usemao "OMBENI NANYI MTAPEWA" Jamaa daaah nimemkosa *******!
kumbe ningemuomba si angenipaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]