Goodnight my love, my prince, my everything [emoji8][emoji8]. Sleep well and dream of your princess.Babe hawa watu siwezi kuwazoea.Inabidi tuwe kama magufuli tu.
Yeyote anayeongea kutuhusu ignore list itamuhusu! Yani atapotea kabisaaa
Hahahaaa ... wivu unasababishwa na nini?Wivu! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
AiseeBosi wa Chelsea Maurizio Sarri ambaye amehusishwa kwenda kujiunga na klabu ya Juventus inasemekana kuwa amefikia makubaliano ya kupewa mshahara wa kiasi cha pauni milioni 1.2kila mwaka . (Mail)
[emoji23][emoji23]afadhali umerudiNimerudi Jamani,
[emoji23][emoji23]nyie watu mmenichekesha sana leo
😁😁😁 Hata wewe?Hapo yote nimeelewa ulichosema kasoro neno moja tu, Wachasugu. Tafsiri tafadhali! [emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaahaaa banaHapa hapafai tena kwa kikao, nitakuja PM.
hapana hapanaHahahaha kwamba tunaweka chumvi nyingi kwenye chakula
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kutikHapo yote nimeelewa ulichosema kasoro neno moja tu, Wachasugu. Tafsiri tafadhali! [emoji23][emoji23][emoji23]
I have got You and Only you in My Heart😘😘😘Goodnight my love, my prince, my everything [emoji8][emoji8]. Sleep well and dream of your princess.
Mimi nikipika naonja Kisha natema ila chumvi huwa naweka kidogo bora kuongeza kuliko chakula kiwe na chumvi nyingi hata sukari nafanya hivyo.hapana hapana
nimebaki tu najiuliza muda huu mikono yenu imefungwa mashine ya kupimia viwango vya chumvi na sukari kwenye chakula?
mbona hamukosei ovyo kama wanaume wanapoamua kuingia jikoni.
lakini kuna mmoja siwezi kumsahau maishani mwangu, alipika keki ikawa imejaa maji kama ugali wa muhogo
😛 😛 😛
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu sana wa iPhone...
Sana sana mtaambulia codes tu na animesheni [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tuisheni nzuri sanaI have got You and Only you in My Heart😘😘😘
I love U Babe' Very Much!!
Uwe na njozi njema.
Ok, bingoMimi nikipika naonja Kisha natema ila chumvi huwa naweka kidogo bora kuongeza kuliko chakula kiwe na chumvi nyingi hata sukari nafanya hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kutik
[emoji23][emoji23][emoji23]eeTalaka?
Dah! Itabidi tuunde couple nyingine kama sita(6) hivi otherwise nitapata tabu saana!!Tuisheni nzuri sana
#makopakamayote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mjeshi ana nafuu halafu wanalegeaga hao[emoji23][emoji23][emoji23]Alisaundi kama mjeshi vile dah...
Aibu tupu yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]