D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hata sijajua bado natafakari,Hahahaha unahisi inaweza ikawa nini eti mpendwa 🤔
Hahahaha umeniuliza swali gumu zaidi ya jiweHata sijajua bado natafakari,
Wewe unahisi ni nini eti?
Hahahaha umeniuliza swali gumu zaidi ya jiwe
Naomba siku ya leo ukaribie nyumbani mpendwaAma ni vile sijakula daku lako?
Not todaY nitatafuta muda MzuriNaomba siku ya leo ukaribie nyumbani mpendwa
Haina Shida karibuNot todaY nitatafuta muda Mzuri
[emoji106]Ni kweli punda hubeba mzigo lakini baada ya kutwishwa na binaadamu na habebi mzigo ule kwa faida yake. Nguvu kazi ya punda hutumika kwa faida ya binaadamu si yake punda. Hata n’gombe huvuta mkokoteni lakini baada ya kufundishwa na binaadamu na wala haiwi kwa faida yake.
Pia mbwa hufundishwa kumuongoza mtu asiyeona lakini baada ya kufundishwa na binaadamu. Katika viumbe wote ni binaadamu pekee anayeweza kufundishwa kitu leo na akaweza kukirudia tena na tena leo na kesho na keshokutwa na mtondogoo. Kiumbe kingine hakiwezi kufanya hivyo hadi kiongozwe na binaadamu.