Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Mazingira ya kufanya biashara nchini Tanzania yameporomoka kwa nafasi 12 kwa miaka miwili iliyopita na sasa Tanzania inashika nafasi ya 144 kwa mazingira bora ya biashara, Si kwamba (Tanzania) haifanyi mageuzi bali ni kwa sababu washindani wake wanafanya mageuzi kwa haraka zaidi kuliko Tanzania."- Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Bella Bird
 
Injinia soma hiyooooo!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…