Salama mpendwa uwe na asubuhi njema
Kumekuchaje?
Hahahaha mpendwa naanzaje kukukaribisha kaka hali ya kuwa nyumbani kwangu ni kwako wew unapita ukikuta futuru unakula haina tatizo.Kumekuchaje?
Niliona jana unawakaribisha wengine tu kwenye futari na daku. Hao wanaokaribishwa wana nini ambacho wengine hatuna? [emoji16][emoji16]