Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uwanja ulidondoka au ilikuwa ni ugaidi?
Acha uzembe kwa kusingizia maandiko [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee. Mahooligans wa Livapuu hawafai dah ..."Ugaidi" ulifanywa na mashabiki vichaa wa Liverpool "the Kop", uligharimu maisha ya watu 39 Wengi wao wakiwa mashabiki hao wa Liverpool.
May 29 1985 kwenye ya fainali za UCL.
Liverpool vs Juventus Turin.