Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Take it easy bro hiyo ilikua ni mbinu tu, unajua uliifuta kabla sijaiangalia so nilitumia hiyo njia nikijua lazima uirudishe hapa hiyo video na nimefanikiwa kwa hilo....

Misambwanda tu hutumi siku hizi kuupisha mwezi itakuaje leo utume porn?

Sorry kama umekereka
 
I got you bro...

Signed: The Don...



(Ni video nzuri sana na maalimu nimemuelewa vizuri sana)

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Misambwanda hata baada ya Ramadhani sitairudia tena. Moving on...
 

Attachments

  • VID-20190529-WA0005.mp4
    806.7 KB
Lilikuwa dili la nani na kwa malengo gani, na je ina maana hiyo Kagera Sugar na TFF hawajui kusoma mtliliko wa point mpaka wasubiri uchambuzi wa mchambuzi?
Nchi ina vitu vya aibu kila eneo
Nasikia Kagera alishushwa kwa ubabaishaji kuna mchambuzi mmoja dogo anaitwa Pilividinho ndio aliibua huo uozo naona akawa katibua dili
 
Wanaziheshimu sana ethics za kazi zao Mkuu si kama kwetu watu wanaganga njaa wataruka huku na kule ili kulinda kitumbua kisiingie mchanga.
Halafu nadhani huu utaratibu wa kwamba mtu lazima kwanza uwe na vihela vyako unajiweza weza kwanza kabla hujagombea na kupewa haya mavyeo makubwa inasaidia sana. Wengi unakuta vipesa vya mshahara ni peanuts tu mtu ana ishu zake zingine. Hivyo kuachia madaraka siyo ishu kivile.

Sisi kwetu mtu hana cho chote na anategemea kila kitu kwenye kikazi hicho ndo aibe atajirike ajikomboe atajiuzulu saa ngapi?

Huwa sielewi kabisa ni kwa nini Mwl. Nyerere alidhani kuwa umasikini ndiyo sifa kuu ya kuwa kiongozi bora. Unampa masikini ukurugenzi wa shirika halafu eti unamtegemea asiibe si maajabu hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…