Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juwakazi%2020190528_162942.jpg
 
Hata Mfalme wa kuzinduliwa huwa anapoteaga kwanza. Akiusoma mchezo na kuona upepo umeanza kupoa kidogo ndiyo huyooo anakuja kujibaraguza baraguza. Halafu hamjakaa sawa uzi wa uzinduzi unafutwa...

Siku Yego naye akizinduliwa aisee sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha... siku yake inawadia soon.. Havijawa enroute
 
Back
Top Bottom