Kama vile ulivyo muhimu hapa,Kila mtu ana umuhimu wake
Mzuri Bro, ni vile nimemmiss Cookie,..Nipo sawa bro nashukuru Mungu, vipi za mida?
[emoji106][emoji106]
Hapana sio hivyo mpendwa, huyu ndugu nilikuanae kwenye group la kusoma vitabu huko WhatsApp sasa ndio nilikua naulizia kama bado lipo mana mimi nilitokaKuna tudalili twa uzinduliwaji .. Davet?
😀 😀 😀Hahahaha kwani Kuna kitu gani kinaendelea wew na BAK siwaelewi 😀😀😀
[emoji818][emoji818]
Namaanisha yeye kupoteza simu?Hapana sio hivyo mpendwa, huyu ndugu nilikuanae kwenye group la kusoma vitabu huko WhatsApp sasa ndio nilikua naulizia kama bado lipo mana mimi nilitoka
Ooh itakuwa typing error sweetheart. Vipi hali yako?Unamaisha nini "tulio single"?
Mzuri Fraggy,.. Nakuona leo umechangamka sana.Jana ulipata tuisheni kutoka kwa Numbi wewe!
Nzuri Coco wajionaje na hali?
Hahah!Mzuri Bro, ni vile nimemmiss Cookie,..
Umemuweka wapi leo?
Mzuri Fraggy,.. Nakuona leo umechangamka sana.
I like You this way,..😉
Eti eeeh?Mzuri Fraggy,.. Nakuona leo umechangamka sana.
I like You this way,..😉