chumoooo lete bakuli moja la supu ya nguru weeee, kimchi, makgeoli pamoja na supu ya mkia wa mamba aliyehai.
kuna jamaa fulani alikwenda eneo fulani akakuta nyumba inaungua moto, jamaa anapenda kiki kuliko steringi wa kihindi basi akaamua kutoa msaada. cha ajabu aliporudi nyumba akakuta nyumba yake pia inawaka moto, majirani wote mbio nyingi hatimaye moto akaachiwa azime peke yake na alishachoka.
jamaa mwengine kila siku alikuwa anaambiwa njia moja ya kusoma ni ya kutembea na si kujificha ndani ya shimo kama nyoka mjamzito.
====================================================================================================
RAIS MAGUFULI AUOMBA UMOJA WA ULAYA NA MAREKANI KUIONDOLEA VIKWAZO ZIMBABWE
Rais Magufuli amesisitiza kwamba Zimbabwe ipo kwenye njia sahihi ya kuufufua uchumi wake chini ya Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa
Rais Magufuli amesema tangu Rais Mnangagwa aingie madarakani uchumi wa Zimbawe umeanza kuimarika na akaziomba nchi za magharibi kuondoa vikwazo dhidi yake
Amesmea kuwa amesoma taarifa ya kiuchumi na ameona uchumi wa Zimbabwe unakuwa kwa asilimia 3.5