Asante jirani. Chelsea sio wazuri ila Arsenal nyanya!Pole jirani. Chelsea wabayaaa
👍 👍Hivyo ifahamike kuwa kukoboa kunapoteza kiasi fulani cha unga. Pili, unga usiokobolewa una kiasi kikubwa cha mafuta, protini, madini, vitamini, na nyuzinyuzi (fibre) hivyo, unaimarisha zaidi lishe ya mlaji mwilini.
Mzima za kwakoNjema dadake, mzima