Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha Ole anahitaji pesa hizo kusajili beki wa kati, beki wa kulia, viungo wa kati wawili, winga na mshambuliaji wa kati. Beki wa kati anamtaka Harry Maguire, Kalidou Koulibaly au Matthijs de Ligt ambao kila mmoja kumpata mkwanja wake ni Pauni 90 milioni.
 
Anamtaka beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka. Akiamua kubaki na mabeki wa kikosi chake kwa sasa kisha kuwasajili Ndombele, Rakitic, Pepe, Dybala na Neymar, basi hapo atakuwa ametumia Pauni 480 milioni kama atawanasa kwa bei iliyotajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…