Six pack VE [emoji3][emoji3]Nini pale VE?
Aaah kuitaja tu ushajua ni nini?okey ni mafuta mafuta neneeee imenonaaaa ndan ya surual waona sambusaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msaada please! Kwenye kamusi yangu nunu haimo 😜😜😜
Sawa Baby nitaweka hiyo kesho.Nimestukia ishatolewa Fraggy ndio kanistua wakati ishakuwa too late....basi kesho weka ile ya 6 pack ukiwa kwenye shati la blue [emoji41][emoji41]
Hatari sana! Upuuzi mtupu! wanakaribisha nguvu za giza!Haalfu vijinga vinarudisha mrejesho ooh leo nimeachiwa hela za mboga ,mara napelekwa showroom kuchagua gari etc vimbelembele vinakimbilia kubugia navyo vidake mabwana wenye hela
Yanga hoyee !!![emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1112405
Ni fulu kulamba mautamu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Khee kheeeeee kheeeeeeeeeeeee mzee wa kumung’unya pipi usiku na kulamba maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya buana.
On mai wei umevaaje nikutambue poti[emoji2]Karibuni kwenye kamnuso hapa, Harvard University, Cambridge; Massachusetts! Kuna msela nondo flani hivi leo anapata karatasi lake hivi la “Ilimu Dunia”! [emoji23][emoji23]
Dah! kweli We aim to please...Sawa Baby nitaweka hiyo kesho.
Usijali sana kuhusu hawa watu hapa, kila mtu ana stahili furaha.
Natamani kila mtu afurahi kuwa hapa,
Nakupenda sana mpenzi, furaha yako ni kila kitu kwangu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]usijali mkuu, utani ndio undugu wetu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sikuwa na nia mbaya Mkuu zaidi ya kukutania tu Mkuu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]usijali mkuu, utani ndio undugu wetu hapa
Cambridge ipo huko kumbe!Karibuni kwenye kamnuso hapa, Harvard University, Cambridge; Massachusetts! Kuna msela nondo flani hivi leo anapata karatasi lake hivi la “Ilimu Dunia”! [emoji23][emoji23]