Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimestukia ishatolewa Fraggy ndio kanistua wakati ishakuwa too late....basi kesho weka ile ya 6 pack ukiwa kwenye shati la blue [emoji41][emoji41]
Sawa Baby nitaweka hiyo kesho.

Usijali sana kuhusu hawa watu hapa, kila mtu ana stahili furaha.

Natamani kila mtu afurahi kuwa hapa,

Nakupenda sana mpenzi, furaha yako ni kila kitu kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…