Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
On mai wei umevaaje nikutambue poti[emoji2]
Cambridge ipo huko kumbe!
Nani kapata cheti huyo?
Six pack VE [emoji3][emoji3]
Wanaume/ wavulana wengine sijui walidondoshwa wakiwa wadogo? Yaani Kidume kizima kijue hayo ili iweje? unless ni KE!!!Je, wanawake wa Tanzania wanatumia menstrual cups au tampons wawapo kwenye hedhi?
Naimani warembo wa JF mko poa.. Naombeni mnisaidie kitu kimoja Najua matumizi ya sanitary pads(taulo za kike) kwa ajili ya kujisitiri kipindi cha hedhi yamezoeleka. Sanitary pads(Taulo za hedhi) Hivi kuna wanawake Tanzania ambao wanatumia Tampons au Menstrual Cup kipindi wakiwa kwenye...www.jamiiforums.com
Aaah kuitaja tu ushajua ni nini?okey ni mafuta mafuta neneeee imenonaaaa ndan ya surual waona sambusaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anafanya research may beWanaume/ wavulana wengine sijui walidondoshwa wakiwa wadogo? Yaani Kidume kizima kijue hayo ili iweje? unless ni KE!!!
Wanaume/ wavulana wengine sijui walidondoshwa wakiwa wadogo? Yaani Kidume kizima kijue hayo ili iweje? unless ni KE!!!
Hongera Msela N.. sasa mnuso wenyewe bila picha haunogii.. tupiamo japo na sisi tukujoin from afar!Msela Nondo! Harvard iko ndani ya mji unaitwa, Cambridge! Halafu acha miyeyusho wewe, you know It! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hongera Msela N.. sasa mnuso wenyewe bila picha haunogii.. tupiamo japo na sisi tukujoin from afar!
Hongera Msela N.. sasa mnuso wenyewe bila picha haunogii.. tupiamo japo na sisi tukujoin from afar!
Sample population= Avatars?Anafanya research may be
Ndio, anafanya ya mtandao, then physicallySample population= Avatars?
6 pack zinatosha VE [emoji16][emoji16]Sawa VE, soon the number will increase to 8 packs. That’s the highest number. [emoji12][emoji12][emoji12]
Write up, close up, Shape upPick Up, shock up, big up, Thumb Up
Aaaah mgumu mbona sion mwenye batik wala kitenge ila nakaona kajamaa flan kanataka kudavet yaan hivi[emoji125][emoji125]Msela nondo, siyo mimi! Mimi mshuhudiaji nimetundika shati la batiki flani hivi! [emoji23][emoji23]