Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salaam bro.
Salama kabisa bro. Kwako huko kuko salama?Sichemi.
Salama bro?
Aisee!!hiyo hali ya hewaKwa mtoto wa kiume kuoga mara 2 au 3 kwa wiki sio mbaya sana.
Jumanne nilitoka zangu shamba kubeba maparachichi,ndizi za kuiva na mafyulisi. Kwa hali ilivyo ya baridi bado sijaoga mpaka leo japo nanukia nukia kwa mbaalii halufu ya ndizi za kuiva na mafyulisi...Ila nipo fresh kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1112201
Geography is a destinationKapotea sana itakua majukumu
Salama salimini.Salama kabisa bro. Kwako huko kuko salama?
In shaa AllahLaykatul Kadir...View attachment 1112235
Hakuna kitu. Labda joto tu bro...Salama salimini.
Unatunyima nini huko?
Imebidi nirejee post za nyuma.Nimeona bana.Kumbe yupo vizuri eeeehhh 😀😀😀😀Kwanini umuandikishe kwa lazima bro wakati yeye yupo vizuri au hujaona kwanini wanaongelea gym? 😀