Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Yaani ni kuugulia tu!Kumbe na wewe ni mwanaAseno mwenzangu [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani ni kuugulia tu!Kumbe na wewe ni mwanaAseno mwenzangu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sumu kuvu/ Aflatoxins hatareeHalafu si wanasemaga eti una sumu kama mahindi yamehifadhiwa kwa muda mrefu na/au kutiwa madawa ya kuzuia wadudu?
And then?If you are happy in your relationship [emoji131] even mine started like that [emoji23]
Salaam bro.Hahahahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]salaam Bradha
🤣🤣🤣True that!You cannot video call someone out of the blue! You[emoji122] make[emoji122] an[emoji122] appointment![emoji122]
🤣🤣🤣Prove it!The reason why ladies try to avoid “broke” men [emoji30][emoji2094]Is that they have the most fertile sperm!
Surprisingly mi tukipigwaga ndo nafurahia balaa [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani ni kuugulia tu!
We nawe! Sasa nitaprove vipi hata sikujui bana? Si tupange tukutane angalau halafu tusubirie matokeo? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prove it!
Inabidi kufanyeje ili kuepukana na hii sumu kwa wala dona? Kuyaosha kabla ya kwenda kusaga ama?Sumu kuvu/ Aflatoxins hataree
Sawa Baby nitaweka hiyo kesho.
Usijali sana kuhusu hawa watu hapa, kila mtu ana stahili furaha.
Natamani kila mtu afurahi kuwa hapa,
Nakupenda sana mpenzi, furaha yako ni kila kitu kwangu.
Team makomwe mpo?
Leo ndiyo unagradyueti poti? Kongaratyulesheni sana na usije ukaishia Silicon Valley. We need you back home...Karibuni kwenye kamnuso hapa, Harvard University, Cambridge; Massachusetts! Kuna msela nondo flani hivi leo anapata karatasi lake hivi la “Ilimu Dunia”! [emoji23][emoji23]
May be ni...asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16]Wanaume/ wavulana wengine sijui walidondoshwa wakiwa wadogo? Yaani Kidume kizima kijue hayo ili iweje? unless ni KE!!!
Shut the f*ck up !!!