Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika kipindi chote miaka yote ya 1950 na hadi 1960 mwanzoni, Jim Reeves alifanikiwa kuachia nyimbo zake kali zizoshika ‘chati’ za ‘Anna Marie’ na ‘Blue Boy’ No. 2 za mwaka 1958. Nguli huyo alifyatua vibao vingine vya ‘Billy Bayo’ mwaka 1959 na ‘He will have to go’ wa mwaka 1960, ‘Adious Amigo’ (namba mbili, 1962), ‘Welcome to my World’ (namba mbili, 1964) na ‘I guess I’m crazy’ (namba moja kwa wiki saba, 1964).
 
Pia alikuwa na kikosi na idara ya nyimbo za dini katika jukwaa lake. Wimbo wake, ‘Danny Boy’ akijitambulisha kwamba wazazi wake wametokea Irish. Wimbo ‘But You Love Me Daddy’ ukirekodiwa wakati mmoja akiwepo ‘Steve’. Huyo alikuwa ni mtoto wa umri wa miaka minane. Mtoto huyo alikuwa ni wa mpiga gitaa la besi, Bob Moore.
 
Wimbo huo uliingia katika ishirini bora huko Ulaya baada ya miaka kumi. Rekodi za Reeves mara nyingi zilikuwa na utamanifu wa kipekee, kama ‘I Love you Because’ na ‘I won’t forget You’. Zote hizo zilikuwa katika chati huko Ulaya kwa wiki 39 mfululizo.
 
Alipata umaarufu kama muimbaji wa kiume mwenye sauti ya kupendeza na nzito kiasi na yenye madaha. Nyimbo kama ‘Adios Amigo’ ‘Welcome to My World’ na ‘Am I Losing You’ zinaonesha hilo. Reeves nyimbo zake za Chrismasi zikijirudia rudia na kupendwa sana hasa zikiwa ni pamoja na ‘Chrismasi’, ‘Blue Chrismas’ na ‘An Old Chrisimasi Card’.
 
Hali kadhalika alikuwa hodari kwa kuukweza na kuzipa umaarufu nyimbo nyingi za ‘Injili’ kama. Alizipa kipaumbele nyimbo hizo za ‘We Thank Thee’ ‘Take My Hand, Precious Lord’ ‘Across The Bridge’ ‘Where We’ll Never Grow Old’ na nyingine nyingi.
 
Inasikitisha na kushangaza sana kuona ndugu hawa wawili waliopata mafanikio makubwa sana kimaisha kupitia muziki wakifarakana kiasi hiki tena hadharani.

Mapacha Paul na Peter Okoye wa P-Square kuburuzana mahakamani kisa picha | __ Wasanii wakubwa nchini Nigeria, ambao pia ni mapacha Peter na Paul Okoye huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha ya mwenzie kwenye tangazo la tamasha lake nchini Angola. Peter ambaye yeye ndiye mlalamikaji, amesema kuwa anatarajia kwenda mahakamani kumshtaki ndugu yake, Paul Okoye, kwa kutumia picha zake kwa ajili ya kutangaza tamasha hilo la muziki. “Kwahiyo wameamua kutumia picha yangu ili wauze tiketi za show yao huko Angola. Nyie mapromota na uongozi mzima mwanasheria wangu atalifuatilia suala hilo mapema iwezekanavyo,” ameandika Peter kwenye ukurasa wake wa Instagram. Hata hivyo, tayari Paul Okoye ameshafanya show yake jana Jumapili Mei 26, 2019 usiku nchini Angola. Peter na Paul ni mapacha na zamani waliunda kundi la P-Square ambalo lilipata umaarufu zaidi duniani kupitia nyimbo kadha wa kadha ikiwemo Personally, Temptation na nyinginezo. Kwasasa kundi hilo limevunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo za maslahi binafasi na kifamilia, Ingawaje kumekuwa na masuluhisho kadhaa ya kurudisha kundi hilo.
 
Reeves aliibua na mafanikio makubwa baada ya ‘kujaladia’ kuimba utunzi za Joe Allison, ukiwemo wa ‘He’ll have to Go’. Katika nyimbo za ‘Country’ ambazo ziligonga vichwa vya watu kuanzia February 08, 1960 na kuendelea kwenye chati kwa wiki 14 mfululizo.
 
Back
Top Bottom