mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ishaalah kwa uwezo wa AllahUsiku mwema Mwenye enzi mkuu Mungu atulinde usiku huu tuamke salama kesho panapo majaliwa
Usiku mwema Mwenye enzi mkuu Mungu atulinde usiku huu tuamke salama kesho panapo majaliwa
She is Beautiful!
Mamboz
Mko poa humu
Huyu anawaaibisha sana wakoromije wote. Just imagine leo kagawa futari kufuru tupu ukumbini huku nje wananchi wanahangaika na usafiri wa mwendokasi mpaka muda huu wengi wapo vituon wakisubiria mabasi ambayo ni machache sana
Hivi huyu dogo ana matatizo gani huyu? Mbona anaropoka ropoka sana? Anadhani kuwa haya madaraka atakufa nayo?