Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tukutane masaa 24 yajayo
FB_IMG_1559195859248.jpeg
 
Prisca namwogopa sana kwa sababu hatabiriki hasa kwenye matani ya aina hii. Inategemea siku hiyo ameamkaje vinginevyo mtu unaweza kujikuta unachezea vitasa vya kutosha. Ndo maana nimeishia kukausha tu...But if you know you know [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂

Ai goti yu buro 😁😁
 
Kulia hakusaidii kitu .. sanasana unazidi kujiumiza tu.. Maisha ni jinsi wewe unavyoyataka yawe.. So kuna misukosuko ..fine all of them will pass and life goes on..
No one said it is going to be an easy ride on Earth...
Kila mtu ana mitihani yake tofauti so jinsi tunavyoikabili na kureact mitihani hiyo inapotokea ndio tunatofautiana..

So wipe your tears BabyBrother there is so much more to this world to enjoy than the few mishaps you encountered....

Jamani wadaka chozi mpo humu?
Ahsante kwa neno la kutia moyo[emoji120][emoji120]

Hapo kwenye wadaka chozi... Ikitokea nami nishitue ninako kachozi kamoja nataka kadakwe...
 
Kulia hakusaidii kitu .. sanasana unazidi kujiumiza tu.. Maisha ni jinsi wewe unavyoyataka yawe.. So kuna misukosuko ..fine all of them will pass and life goes on..
No one said it is going to be an easy ride on Earth...
Kila mtu ana mitihani yake tofauti so jinsi tunavyoikabili na kureact mitihani hiyo inapotokea ndio tunatofautiana..

So wipe your tears BabyBrother there is so much more to this world to enjoy than the few mishaps you encountered....

Jamani wadaka chozi mpo humu?
🙏🙏🙏🤝🤝
 
Back
Top Bottom