Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

52504207_799193947126635_7764361516871146605_n.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Natamani uniambie utanibariki nani ila Prisca nimeona kareact kwa kucheka sanaaaaaa, kausha tu usiseme
Prisca namwogopa sana kwa sababu hatabiriki hasa kwenye matani ya aina hii. Inategemea siku hiyo ameamkaje vinginevyo mtu unaweza kujikuta unachezea vitasa vya kutosha. Ndo maana nimeishia kukausha tu...But if you know you know [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom