Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Album yake mpya ya Song and Dance iliyorekodiwa mwaka 2006 katika Studio za Virunga reocords, wakimshirikisha mwanamuziki Bopol na wangine wakali toka bendi yake ya Orchestra Virunga. Abum hiyo iliyokuwa na nyimbo nyingi ilizinduliwa rasmi walipokuwa kwenye ziara nchi za Ulaya mwezi March 2006.
 
Mwezi Juni 4 2006 Samba alikuwa nchini Kenya kawa ajili shughuli maalumu ya Ecofest, Wakati wa Kampeni ya Urais wa Marekani mwaka 2008, Samba Mapangala alionyesha ni jinsi gani wananchi wa Kenya wanavyomshabikia mgombea wa kiti hicho Barack Obama. Alifyatua wimbo maalumu wa kumtakia heri Obama ulioitwa 'Obama Ubarikiwe'
 
IMG_20190531_132521_302.jpeg
 
Ndio alisema.Yeye la kwanza ameanza 2005 hivyo miaka yake anaijua mwenyewe ila kukaharibu katoto ka miaka 12 haikubaliki
Kama alianza la kwanza 2005 ina maana he is 18+; na kama kweli ana katoto ka miaka 12 anakaharibu basi ni pedophile tu na anapaswa kupigwa mvua 30+. Usije kuta ni Karma imeanza kufanya what it does best...
 
Back
Top Bottom