Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Cha kawaida tu,nipo napunga kaupepoHiki ni kicheko cha amani au rabsha?
Mtunza kumbukumbu nauliza
Cha kawaida tu,nipo napunga kaupepoHiki ni kicheko cha amani au rabsha?
Mtunza kumbukumbu nauliza
Hivi hili halikuwaga swali la mtihani hilo? lazma ukose kwanza
Ila una vituko dah!!!Cha kawaida tu,nipo napunga kaupepoView attachment 1113255
Esta buana.. nimecheka😁😁😁
🙏🙏🙏 kesho mwisho shopping ya Eid ujuwe!Niko poa sana
Mbona nzuri tu!
Wki kesho si mbali...Mtunza kumbukumbu ukumbusheMfungo si unaisha wiki kesho?
Mi mtunza kumbukumbu nitakumechisha vizuri tu wala usiwe na shaka [emoji16][emoji16][emoji16]