Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mhhhh !!!

Unafikiri asingekuwa Mkoromije angekuwa na tabia tofauti? Unafikiri tabia zake hizi za kitoto ni matokeo ya kuwa Mkoromije? Just curious...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndio bro

Hizo tabia ni za watu wa kanda ya ziwa hata tabora pia. Hasusani wale waliokulia kwenye umaskin mkubwa,kwa historia ya paulo anayoyafanya ni yale aliyoyamiss utotoni hadi ujanani.

Ila elimu ya maana ingemuokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…