mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nashangaa uzi haujachangamkiwa kivile...Mawazo mazuri sana.
Aina 50 ya online Bussness platforms unazoweza kuanzisha TZ na uka-dominate Soko - JamiiForums
[Updated 17 May] Tunajua kuwa INTERNET kwa SASA ni kitu muhimu sana ambacho kinakupa nguvu ya USHINDANI ktk biashara. Mitandao kama Uber, Tala, Mpesa, Zidisha, Makazi, Jumia, Brightermonday... imeleta mapinduzi ktk sekta zake na watu wamekuwa wakiitumia zaidi na zaidi na wana-make revenue nzuri...www.jamiiforums.com
Aibu kwetuClear goal ilikuwa mechi nzuri ya ushindani ,Refa inawezekana aliona ni offside kwa hiyo kuondoa hizi lawama ndio maana zikaja VAR sielewi kama hawa CAF kama wapo serious na soka la Afrika kweli mechi ya final ya klab bingwa unakuja na excuse VAR mbovu na president anaingia uwanjana kushawishi kuendelea na mechi only in Africa naona vile vile Refa alikuwa na matokeo yake mfukoni hata kama VAR ingekuwepo
Umetumwa na malkia wako uje uweke haya majoka leo au ni akili yako tu imekutuma?
Taratibu mkuu 🤔
Sana mkuu kombe la dunia tutaishia kupiga nalo picha tuAibu kwetu
Fragaria njoo. Kuna majoka huku yanameza vitu...[emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee siwezi mpa like yangu huyu nyoka asubutuu 😀😀
Watu wanataka vitu lainiNashangaa uzi haujachangamkiwa kivile...
Ushaharibu. Umeanza na mamizimu ya Misri na majoka ya mkeo. Lazima mfungwe tu kwa sababu hakuna namna. Klopp ataendeleza rekodi yake mbovu ya kupoteza katika fainali. Mark my words !!!Hahahaha mkuu nina big match leo maombi pande zote za dunia Reds wawe mabingwa
Hahahaha nimemkumbuka sana ni soul mate wangu namvutaUmetumwa na malkia wako uje uweke haya majoka leo au ni akili yako tu imekutuma?
Hahahaha muda utaongea klop atabeba kombe safari hiiUshaharibu. Umeanza na mamizimu ya Misri na majoka ya mkeo. Lazima mfungwe tu kwa sababu hakuna namna. Klopp ataendeleza rekodi yake mbovu ya kupoteza katika fainali. Mark my words !!!
HahahahaAisee siwezi mpa like yangu huyu nyoka asubutuu [emoji3][emoji3]