Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa ukihongwaga pesa na wakati wewe mwenyewe una pesa zako napo huwaga haina mvuto?Kuhongwa kigari nnachoweza kununua mwenyewe inakuwa haina mvuto!
Kwa ukihongwaga pesa na wakati wewe mwenyewe una pesa zako napo huwaga haina mvuto?Kuhongwa kigari nnachoweza kununua mwenyewe inakuwa haina mvuto!
Kuchapiwa kunauma sana bro. Askofu kapaniki balaa. Halafu limke lake zuri jeupe tipwa tipwa yaani mpaka raha...Naona kuna liaskofu limehondomola hapo...
View attachment 1113978
#KuchapiwaHakuepukiki...
Mimi wivu sina.. Ila huwa roho inauma sana tu!Wewe una wivu?
Mungu Anajua kila kitu; na Anajua huyo Capitalpool ni nani. Dua inamfikia tu bila wasiwasi. Kuna mtu humu huwa namsalia mara kwa mara japo sijui jina lake halisi.Ukitaja Capitalpool dua inafika kabisa maana nia yako inajua nani umemlenga
Mungu ni mwema na kila kitu kiko sawa. Ni changamoto tu za hapa na pale kama ilivyo kawaida yetu hapa duniani. Tumshukuru Mungu bro....
Hahahaha hili klop apate hiyo mojor at least once lazima Liverpool ashinde sasa hapo unasemajeMzee wa liver hili swali la kimtego kabisa
Mimi natamani Klopp apate hata major trophy lakini sitaki Liverpool ashinde
Ndo hivyo bro. Ni kuvumilia tu kwa sababu hakuna namna...Hii kauli yako ni nzito sana lakini ni ya kweli Mimi siipendi sana lakini basi Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amun RaMungu Anajua kila kitu; na Anajua huyo Capitalpool ni nani. Dua inamfikia tu bila wasiwasi. Kuna mtu humu huwa namsalia mara kwa mara japo sijui jina lake halisi.
Tusitende dhambi hapa kwa kudhani kuwa eti kwa vile tunatumia avatar na id feki ndiyo Mungu hatatujua...
Huo ndo wivu wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi wivu sina.. Ila huwa roho inauma sana tu!