Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20190601-WA0006.jpeg
 
Mungu Anajua kila kitu; na Anajua huyo Capitalpool ni nani. Dua inamfikia tu bila wasiwasi. Kuna mtu humu huwa namsalia mara kwa mara japo sijui jina lake halisi.

Tusitende dhambi hapa kwa kudhani kuwa eti kwa vile tunatumia avatar na id feki ndiyo Mungu hatatujua...
Ukweli mtupu bro, ndio mana nilikua nasema kikubwa nia ya muomba dua tu basi
 
Back
Top Bottom