Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuchapiwa kunauma sana bro. Askofu kapaniki balaa. Halafu limke lake zuri jeupe tipwa tipwa yaani mpaka raha...Naona kuna liaskofu limehondomola hapo...

View attachment 1113978

#KuchapiwaHakuepukiki...

Hii kauli yako ni nzito sana lakini ni ya kweli Mimi siipendi sana lakini basi Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitaja Capitalpool dua inafika kabisa maana nia yako inajua nani umemlenga
Mungu Anajua kila kitu; na Anajua huyo Capitalpool ni nani. Dua inamfikia tu bila wasiwasi. Kuna mtu humu huwa namsalia mara kwa mara japo sijui jina lake halisi.

Tusitende dhambi hapa kwa kudhani kuwa eti kwa vile tunatumia avatar na id feki ndiyo Mungu hatatujua...
 
Hii kauli yako ni nzito sana lakini ni ya kweli Mimi siipendi sana lakini basi Tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hivyo bro. Ni kuvumilia tu kwa sababu hakuna namna...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…