Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee ham ya kugegeda inapungua hapo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1113985
Sasa inaumaje kama una wivuMimi wivu sina.. Ila huwa roho inauma sana tu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Gudu kwesheni.Sasa inaumaje kama una wivu
WIVU ni nini? Ni hisia yenye nguvu inayoweza kumfanya mtu ahisi hangaiko, huzuni, au awe na hasiraSasa inaumaje kama una wivu
Usibishe. Una wivu. Fulu sitopu !!!WIVU ni nini? Ni hisia yenye nguvu inayoweza kumfanya mtu ahisi hangaiko, huzuni, au awe na hasira
Ukweli mtupu bro, ndio mana nilikua nasema kikubwa nia ya muomba dua tu basiMungu Anajua kila kitu; na Anajua huyo Capitalpool ni nani. Dua inamfikia tu bila wasiwasi. Kuna mtu humu huwa namsalia mara kwa mara japo sijui jina lake halisi.
Tusitende dhambi hapa kwa kudhani kuwa eti kwa vile tunatumia avatar na id feki ndiyo Mungu hatatujua...
Duh huyu nyau noma!
She could sing dah !!!Whitney Houston R.I.P the Greatest of All time
HeeeeUsibishe. Una wivu. Fulu sitopu !!!
Una busara sana sometimes. Sema tu ni yale mambo ndo huwa yanakukunguwaza. Ila sikulaumu bro. Ni lazima uyapitie ili huko mbele ya safari usije ukatupa shida [emoji16][emoji16][emoji16]Ukweli mtupu bro, ndio mana nilikua nasema kikubwa nia ya muomba dua tu basi
HapanaHuo ndo wivu wenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]