Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Your boyfriend dumped you two weeks ago before his wedding [emoji141] don't feel bad [emoji113] at least you reached to semifinals [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kwenye group la wivu nitoe Sina kabisaaaNyote mna wivu. Msingekuwa na wivu roho zisingekuwa zinawauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Aliniomba nimuombee jamani..General? Kwa nini wengine wanatajwa majina?
Ukute na yeye anachepuka ila hapo roho inauma mbaya.Askofu Ng'ang'a wa Kenya kachapiwa mke na askofu mwenzake amepaniki balaa. Kuna video inazunguka akichimba mkwara hevi kwa maaskofu wa kanisa lake. Yaani kawatukana kila aina ya tusi. Picha ya mkewe ilipowekwa wengi wamemuunga mkono eti tu kwa sababu mkewe ni mrembo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1114090
Duh... Na roho haiumi?Hahahaha kwenye group la wivu nitoe Sina kabisaaa
General? Kwa nini wengine wanatajwa majina?
Ile kitu ni hatariDuh Maaskofu hadi
Unaweza ukajiuliza au Sipendwi hapa.Duh... Na roho haiumi?
Kitu gani Hawachi? [emoji16][emoji16][emoji16]Ile kitu ni hatari
Aisee, hatari sana.Askofu Ng'ang'a wa Kenya kachapiwa mke na askofu mwenzake amepaniki balaa. Kuna video inazunguka akichimba mkwara hevi kwa maaskofu wa kanisa lake. Yaani kawatukana kila aina ya tusi. Picha ya mkewe ilipowekwa wengi wamemuunga mkono eti tu kwa sababu mkewe ni mrembo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1114090
Omba UpeweAliniomba nimuombee jamani..
Sasa mwenzenu ameomba....
Omba upewe!
Yaani.. Aibu!Ile kitu ni hatari
EeOmba Upewe
[emoji106][emoji106][emoji106]