Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi roho imeniuma sana. Kumbe wengine wanaombewa dah. Ila dunia hii ndo ilivyo. Hakuna usawa !!!Mimi utaniombea lini?
Mzima Frag??
Kwema lakini bro?
Hata mimi roho imeniuma sana. Kumbe wengine wanaombewa dah. Ila dunia hii ndo ilivyo. Hakuna usawa !!!Mimi utaniombea lini?
Mzima Frag??
Mzima mie..Mimi utaniombea lini?
Mzima Frag??
Kuna vigezo gani unatumia ndo mtu akwolifai kuombewa na wewe? Hau du ai kwolifai?Shauri yake zisipofika!
Wapi huko?Kuchapiwa kunauma sana bro. Askofu kapaniki balaa. Halafu limke lake zuri jeupe tipwa tipwa yaani mpaka raha...Naona kuna liaskofu limehondomola hapo...
View attachment 1113978
#KuchapiwaHakuepukiki...
Kwema kabisa bro.Hata mimi roho imeniuma sana. Kumbe wengine wanaombewa dah. Ila dunia hii ndo ilivyo. Hakuna usawa !!!
Kwema lakini bro?
Unitajie tu majina yako ...Kuna vigezo gani unatumia ndo mtu akwolifai kuombewa na wewe? Hau du ai kwolifai?
Kila unapopata fursa nitaje nifanikiwe.Mzima mie..
Yeye aliomba nimuombee!
Na wewe unataka nikuombee?
🤣🤣🤣🤣 Niliwaombea wote general..wana uzi wa like..Hata mimi roho imeniuma sana. Kumbe wengine wanaombewa dah. Ila dunia hii ndo ilivyo. Hakuna usawa !!!
Kwema lakini bro?
Pole kuwa kama Mimi.Mimi wivu sina.. Ila huwa roho inauma sana tu!
Sasa nikisema Bradha zitaenda kwa mabradha wangu wanne nilio nao!Inabidi unipatie majina yakoKila unapopata fursa nitaje nifanikiwe.
Askofu Ng'ang'a wa Kenya kachapiwa mke na askofu mwenzake amepaniki balaa. Kuna video inazunguka akichimba mkwara hevi kwa maaskofu wa kanisa lake. Yaani kawatukana kila aina ya tusi. Picha ya mkewe ilipowekwa wengi wamemuunga mkono eti tu kwa sababu mkewe ni mrembo [emoji16][emoji16][emoji16]Wapi huko?
General? Kwa nini wengine wanatajwa majina?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niliwaombea wote general..wana uzi wa like..
😁😁If you have ever waited for your dad to leave food for you during your childhood follow me[emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
Nyote mna wivu. Msingekuwa na wivu roho zisingekuwa zinawauma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Pole kuwa kama Mimi.
Duh Maaskofu hadiAskofu Ng'ang'a wa Kenya kachapiwa mke na askofu mwenzake amepaniki balaa. Kuna video inazunguka akichimba mkwara hevi kwa maaskofu wa kanisa lake. Yaani kawatukana kila aina ya tusi. Picha ya mkewe ilipowekwa wengi wamemuunga mkono eti tu kwa sababu mkewe ni mrembo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1114090