BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Tottenham Spurs will prevail 3-2. Just my prediction and I am not Sheikh Yahya 😎
Ngoma inogile View attachment 1114360
Ngoma inogile View attachment 1114360
Niulize mimi mkuu huyo analia na mafua juuMoud hajawahi kulia tangu azaliwe, mbona bado yupo?
Aisee anajua sana huyu ana wimbo wake mmoja naupenda kinyama
Wimbo mzuri sana huuAisee anajua sana huyu ana wimbo wake mmoja naupenda kinyama
Nafurahi kama unaendelea vyema 😁😁Naendelea vizuri,uji unafanya kazi mwilini
Ile comment yangu umecheka baada ya kuandika uji niambie tafadhali😀😀 Nimekuja Hawachi sema
Hapa Kuna kitu 🤔😀😀😀😀Nafurahi kama unaendelea vyema 😁😁
Azam anacheza Confederation Cup
Simba Champion League
Hahah! Ni uji gani ulikua unamaanisha maana humu ndani kuna uji nyingi ndio maana nimechekaIle comment yangu umecheka baada ya kuandika uji niambie tafadhali
Unazidi kunichekesha Hawachi 😂😂😂Hapa Kuna kitu 🤔😀😀😀😀