Aisee uji wa Unga wa mahindiHahah! Ni uji gani ulikua unamaanisha maana humu ndani kuna uji nyingi ndio maana nimecheka
Niaje bro
Ile issue ya kuongezeka reaction nimeifanyia kazi nimeona ni kweli bhana
Fresh Mkatalunya, vipi pande hiyo?
Nakuelewa mwaya nilikua nazingua tu mimiAisee uji wa Unga wa mahindi
Hahahaha wazee wa kubadili mada nilijua kama unanizinguaNakuelewa mwaya nilikua nazingua tu mimi
Hapa tupo poa saa bro kama umepitia notifications zako utaona watu walivyokumention, tulikukumbukaPande hizi Fresh pia vipi hapa jamvini