Hahaa, niandalieni kitambaa cha machozi[emoji29]
Is that too seriously? Sion tatizo broLiver ameniudhi leo. Siku ya pambano muhimu hivi kaamua kuja na mizimu na majoka ya mkewe. Lazima wafungwe kwa sababu hakuna namna.
Ofu kozi ni matani tu...Is that too seriously? Sion tatizo bro
Hizi hesabu ndio kama zile za mtu anaevuta sigara sijui kwa mwaka angekua na uwezo wa kumiliki nini sijui endapo angetunza hizo pesaJF hii itatukosti in the wrong run [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1114526
Au yule anayekunywa bia badala ya kununua tofali...Hizi hesabu ndio kama zile za mtu anaevuta sigara sijui kwa mwaka angekua na uwezo wa kumiliki nini sijui endapo angetunza hizo pesa