Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo ndiyo leo....
Macho yote ya Dunia jijini Madrid
FB_IMG_1559407643068.jpeg
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Nani aanze kati ya James Milner na Georginio Wijnaldum. Klopp haelewi, Milner anafiti zaidi kwenye kukaba, lakini Wijnaldum kwenye kushambulia. Viungo Jordan Henderson na Fabinho hao ni uhakika na shida ni nani wa kuja kuongezeka hapo kwenye safu ya viungo watatu kati ya Milner na Wijnaldum. Kichwa kinampasuka Klopp. Kuhusu mabeki, Klopp hana shida atawatumia tu Trent Alexander-Arnold, Joel Matip, Virgil van Dijk na Andrew Robertson kwenye fomesheni yake ya 4-3-3, ambayo ametumia kuwatesa wapinzani wake msimu huu.
 
Back
Top Bottom