Manchester City inamnyatia kiungo wa kati wa Ufaransa na Lyon mwenye umri wa miaka 22 Tanguy Ndombel epamoja na kiungo wa kati wa Uhispania Marco Llorente, 24, kama mchezaji mbadala iwapo watashindwa kumsajili kiungo wa kati wa Atletico Madrid na Uhispania Rodri, 22. (Manchester Evening News)

Hamna makosa ya kiufundiWatu weusi wanatudhalilisha
Ilkay Gundogan atasalia katika klabu ya Manchester City msimu ujao hata iwapo kiungo huyo wa Ujerumani ,28, atakuwa ajenti huru wakati ambapo kandarasi yake itakamilika mwisho wa msimu huu.(Mail)
what?Liverpool 0-1
Hahahaha mane kamuoteaYaani huyu Mpumbavu sissoko ananyosha mikono kama anacheza rede
Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane amezuia kuondoka kwa beki wa Uhispania Sergio Ramos, 33, . (ESPN)