Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AmenTuseme asante kwa Mungu
AmenTuseme asante kwa Mungu
Hadi huruma leo avunje rekodiKocha wa fainali anayekosa Taji.. View attachment 1114467
Liver wambane kane ila wasimjeruhi. Plan B ya spurs bila kane ni kali mno
Lakini pia kutokuwepo kwake kunawachanganya liver mtu maalum wa kumkaba kama barca ya messiUwepo wa Kane ni tishio kubwa kwa defence ya Liverpool na wakizembea tu atawapiga.
Na Real itamuwania kiungo wa kati wa Ajax na uholanzi Donny van de Beek, 22, ama kiungo wa kati wa Tottenham na Denmark Christian Eriksen, 27, iwapo itashindwa kumpata kiungo wa kati wa man United na Ufaransa Paul Pogba, 26. (Sun)
Laana ya timu ipo kwenye EPL hapo Clopp afute gundu lake binafsiYeye mwenyewe kakosa kombe kwenye fainali sita
Timu pia ina laana yake
Hamna bado naipenda man u ila ugomvi wa wazungu haunihusu hahaah
Bara ambalo ndio asili yao jamaa kishalichambua humu mida flaniWatu weusi wanatudhalilisha
Hio gundu watu wanaita laana pia hope leo ataifutaLaana ya timu ipo kwenye EPL hapo Clopp afute gundu lake binafsi
Najua Tot wakishida utakua na furaha zaidi ya Liver wakishinda
Wakati huohuo , Juventus inamlenga kinda wa klabu ya Empoli kutoka Ivory Coast Hamed Traore kama mchezaji mbadala wa Pogba. (Calciomercato)
Wakati huohuo , Juventus inamlenga kinda wa klabu ya Empoli kutoka Ivory Coast Hamed Traore kama mchezaji mbadala wa Pogba. (Calciomercato)