Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
what?
hata sijaelekea kwenye tv yangu ya mbao mechi ishaharibika.
liverpool 2 tottenham 3
Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane amezuia kuondoka kwa beki wa Uhispania Sergio Ramos, 33, . (ESPN)
Real imesitisha harakati zao za kumsaka mshambuliaji wa Benfica mwenye umri wa miaka 19 raia wa Ureno Joao Felix ili kuimarisha juhudi za kuweza ikumsajili mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard. (Marca)

amtoe dele alli ameshuka kiwango, haiwezekani mimi ninaye ishi njilinji nafahamu hilo halafu kocha hafahamu.Yes it can happen.
Game ishaharibika hii
Game ishaharibika hii
amtoe dele alli ameshuka kiwango, haiwezekani mimi ninaye ishi njilinji nafahamu hilo halafu kocha hafahamu.
asemavyo haraka haraka
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg.Humphrey Polepole amesema wabunge wa CCM wenye nongwa kila serikali inapotatua tatizo, ikiwemo mchakato wa kununua korosho,watakuwa na hali mbaya Uchaguzi wa 2020, huku akiwataka watafute kazi nyingine kwakuwa watakatwa majina yao.
Kweli kabisaIt is still too early Mkuu. Spurs have the ability to fight back 😎
Rial Madrid wanatarajiwa kufanya mazungumzo na Chelsea ili kujadiliana kuhusu usajili wa Eden hazard. (Mail)
Rial Madrid wanatarajiwa kufanya mazungumzo na Chelsea ili kujadiliana kuhusu usajili wa Eden hazard. (Mail)
Kweli kabisa
#rahayakuwaneutral