Acha tu mpendwa,swaum ya leo ilikuwa ya aina yake,kwanza nilipitiwa sikupata daku..Yaani unajitokeza mda huu kweli baba
Bibi yetu kipenzi.
Timu ya Koromije hii au wapi?
Alafu nae anacheka tuOnyesha mfuko wa plastikView attachment 1114465
Naipenda pia. Ina faida lukuki.Hii ukiweka kwenye chai ni nzuri mno
Naendelea vizuri.Acha tu mpendwa,swaum ya leo ilikuwa ya aina yake,kwanza nilipitiwa sikupata daku..
Vp lakini unaendeleaje
Kocha wa fainali anayekosa Taji.. View attachment 1114467
Kwema The Hapiness?Nashukuru sana
Juice fresh unaotengenezwa tamu kweliNaipenda pia. Ina faida lukuki.
Kweli ulikua busy maana muda mrefu sijakuona, pole na majukumuJmos imeniweka busy leo, ila imeisha salama.
Vipi maandalizi ya final[emoji14]
Mfungo unaenda poa bro,kila kitu kipo sawa!!Asante Bro, pole na wewe pia mfungo unaenda vyema ??