Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Performance zake hazina kukurukakara na mikikimikiki mingi kama za akina Cardi B. Na anaperform kwenye Casino moja tu huko Las Vegas hivyo watakuwa walishamzoea.celine dion amechoka
dah umri haudanganyi, hivi bado anaweza kufanya live performance za ukweli kama mwanzoni.