Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa unafatilia mpira vizuri shemela hawezi kukudanganya kitu
[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa unafatilia mpira vizuri shemela hawezi kukudanganya kitu
Uzuri sauti yake haijazeeka iko vizuriceline dion amechoka
dah umri haudanganyi, hivi bado anaweza kufanya live performance za ukweli kama mwanzoni.
YapHii si ndo ina sad ending ama?
Ata kidogo ndio mana leo tupo na mtanzania mwenzetu WanyamaHahahahaha liver hafai
Tafadhali niambie jibu 🤔Sitaki kuingia katika mgogoro nawe. Uji huo mwingine utaujua tu polepole...[emoji16][emoji16][emoji16]
Aaah inipite tu
Anaweza lakini ndio hivyo umri umeendaceline dion amechoka
dah umri haudanganyi, hivi bado anaweza kufanya live performance za ukweli kama mwanzoni.
Sio mimi nikiangalia mpira maswali gunia nzima unaweza kunikimbia naweza kuuliza Mosarah anachezea timu ya Taifa Tanzania 😜😜[emoji23][emoji23][emoji23]