Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Acha kabisa na mpira wa waafrika waarabu huwawez kwa fitna. Ila walikutana wenyewe kwa wenyewe wanaowezana😎😎😎😛😛 kumbe wameizima?
jecha wapo mpaka kwenye mpira 😛😛😛
Acha kabisa na mpira wa waafrika waarabu huwawez kwa fitna. Ila walikutana wenyewe kwa wenyewe wanaowezana😎😎😎😛😛 kumbe wameizima?
jecha wapo mpaka kwenye mpira 😛😛😛
😛😛😛 hata mimi nina hasira naye, si bora angelinitupia japo iceland nikachezee baridi mpaka kufa kwangu.
[emoji818][emoji818]
Hii si ndo ina sad ending ama?Mkuu napata ulevi adimu kabisa kimya kimya nimeipiga mvulilizo View attachment 1114428
Hahahahaha liver hafai
Umeeleweka 100%...Uji unaotengenezwa na Unga wa mahindi mpendwa [emoji4][emoji4]
Aina nyingine ukiondoa hii niliyo elezeaUmeeleweka 100%...
Kuna aina nyingi za uji katika uzi huu ndo maana niliuliza...
Ugua pole...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
AiseeRefa wa mchezo huo, aliwaamuru wachezaji wa Wyada warudi uwanjani lakini waligoma hivyo kwa mujibu wa sheria Esperance wamekabidhiwa kombe ambalo walishinda tena mwaka jana.
celine dion amechoka
Numbisa unafatilia mpira vizuri shemela hawezi kukudanganya kituWachezaji wake watakaokuwa benchi ni Divock Origi, Joe Gomez, Dejan Lovren, Ben Woodburn, Rhian Brewster, Daniel Sturridge na Xherdan Shaqiri.
Nikumbushe kauli ya Trump juu ya hilo bara
Hahahahaa jecha😎😎😎😛😛 kumbe wameizima?
jecha wapo mpaka kwenye mpira 😛😛😛
Hatari jamaa itakua aliandika kwa hasira sana....Yeah last week aliiachia jamaa yuko vizuri kuna mahali anasema haoni sababu ya kushare choo na chok**o
ndio raha lampard na ole baba mmoja mama mmoja
Sitaki kuingia katika mgogoro nawe. Uji huo mwingine utaujua tu polepole...[emoji16][emoji16][emoji16]Aina nyingine ukiondoa hii niliyo elezea
Poa bro ngoja tusubiriNafikiri official inatoka Tar 8 June