mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AnggrrrrrrI am with you on this one
AnggrrrrrrI am with you on this one
Leta kule mtaa wa sabaNgoja badae nitakuletea ushahidi hapa
HahahahahaAnggrrrrrr
Umeipata kazi mpya ya Stereo inaitwa Rostam?
Uwezi iga sauti yakeMama ana sauti tamu mno
Hahahaha jamankulia na kutokwa na mikojo shilingi ngapi?
nataka mpenzi wangu anililie mpaka atokwe na mikojo (ya kawaida lakini na si yale ya kijitu kizima kama ya mzee wa IST)
Hapana sijaipata bado bro kwani maalim anayo Album mpya mtaani?
Mi nimemuuliza pointi blanki hapo juu. Liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah! Ni uji gani ulikua unamaanisha maana humu ndani kuna uji nyingi ndio maana nimecheka
Haya mamizimu ya Misri bro ndo yatafanya mfungwe leo. Leo ungeacha siyo siku nzuri kwako [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha liver hafaiHapa tupo poa saa bro kama umepitia notifications zako utaona watu walivyokumention, tulikukumbuka
Lile jukwaa letu kule wadau tulipoteana kila mtu kaingia mitini 😁
Uji unaotengenezwa na Unga wa mahindi mpendwa 😊😊Uji upi?
(Usinichimbe mikwara kama wakati ule nilipouliza lile swali [emoji16][emoji16][emoji16])
Hahah sawaLeta kule mtaa wa saba