Kwa kifupi liver kabebwa eeMimi na wachambuzi wa Dstv tunasema penalty ilikua soft sana 😁
AsanteTuseme asante kwa Mungu
Esperance wa Ulaya haoKwa kifupi liver kabebwa ee
Umepotea kabisa uyogaUyoga wa Kibaha[emoji41]View attachment 1114615
Hii siyo pic ya Uganda Mkuu?
mfuko wa plastiki na komeo la mbeleni wapi na wapi jamani?
au anapima pressure?
icho kijanajike kinacheka kama kimehongwa IST na bwana madaladala.
atakunyofoa na ujinga wako
View attachment 1114503
Mbona Klopp hana mzuka kabisa
Historia yake inamtafunaMbona Klopp hana mzuka kabisa