Spurs wakirudisha mambi yatakua fireeee
Hawa spurs viherehere tu si wangewaachia ajax hii mechi
Spurs nyoko zao
[emoji19]Hahah burudika tu bro
Wanatetemeka hadi matako sijui wanaogopa nini?
Wana kitete mno ingekua ajax hapo ingeshajipigia goli nyingi
Huyu kipa wa Liver noma
Aiseee liver bingwa
Hongereni sana Liverpool kwa kulitwaa Kombe la ubingwa wa UEFA kwa mara ya sita. Klopp is DA MAN!
Mambo vipi the happiness?[emoji19]
Spurs hawajaonyesha gemu zuri leo
Hatuna pressure walaaa, kwa raha zetu.
Hongereni sana Liverpool kwa kulitwaa Kombe la ubingwa wa UEFA kwa mara ya sita. Klopp is DA MAN!
Asante sana mkuu
Tunaifata furaha popote ilipo 😁Hahahahahaha, team hama hama bro
Hapo R madrid wanamtaman kipa wa liver
Hongera nyingi kwa mashabiki wooote wa Liverpool ndani ya uzi huu
Mimi naamini Ajax angepambana kuliko hawa spurs
Mambo safi kabisa, deni langu[emoji23]Mambo vipi the happiness?