capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hongera Sana Bro,Nzuri mkuu
Jumapili njema kabisa tukiamka tukiwa mabingwa wa Europe safi sana Liverpool
Liverpool fans kikao wapi tushangilie ushindi?!
Good morning TANZANIA
😬😬😬😂😂😂😂
Na oil ingepimwa
[emoji120][emoji120]Hongera sana Majogoo wa jiji
Hongera sana mkuuMkuu tupe hongera zetu msamilie Messi
He deserves👊
Hiyo ndio ndoto yenu kubwa zaidiHahahaha mkuu
Morning bro Bado tunasherekea kwa kweli hila kukosa EPL title so painful
Kuna watu wanasema ilikuwa soft final ok wako sahihi kwa upande mmoja labda wanasahau Road ya Liverpool kufika final ilikuwaje from round of 16 Liverpool ni kama alikuwa anacheza final tu
1.Round 16 bora anamchinja As Roma
2.Robo final anamchinja Bayern Allianze Arena .
3.Semi final Anafanya maangamizi kwa Messi & co
Sasa kweli final mechi unakutana na Spurs ambayo kama Watford tu kwa liver hii mlitegemea final gani labda
Hahahaha mkuu
Morning bro Bado tunasherekea kwa kweli hila kukosa EPL title so painful
Best lineup ya liver kwa sasa hila Jana Firmino aliflop sana
Hahahaha
Asalam alaykum mpendwa[emoji23][emoji23]