mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pole kwa maumivu ya kichwa kama haupo kwenye mfungo kunywa maji mengi ,juice utengeneze mwenyewe sio ya kwenye mapaketiHapana leo kinauma kwa mbali Sana tofauti na Jana,Asante kwa kujali.
Hahahaha mkuu full shangwe kwa kweli
Asante tangu Jana tumezipokea mkuu
Hizi hongera zangu Mbona hamzipokei au zimekaa kinafki sana? [emoji16][emoji16]
Morning chief
Hahah!Huaminiki bro, hata hivyo tumezipokea[emoji1787]
Nimekumiss zaidi mpendwa, habari yangu haijakaa sawa sana.Miss you mpendwa, habari yako
Hawa Liver sijui walibebwa jana. Ngoja nimalizie supu yangu ya samaki hapa Mwaloni halafu nije tubishane poti! [emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Amun RaTuomba uzima na afya
Miss sana malkia wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii misemo ya kiswahili naona mingi inapitwa na wakatiWaswahili wanamsemo wao "Chelewa Chelewa unakuta mwana si wako".
Hahahaha poti umejuaje napata supu ya samaki lakini perege hapaHawa Liver sijui walibebwa jana. Ngoja nimalizie supu yangu ya samaki hapa Mwaloni halafu nije tubishane poti! [emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Shukrani mpendwaPole kwa maumivu ya kichwa kama haupo kwenye mfungo kunywa maji mengi ,juice utengeneze mwenyewe sio ya kwenye mapaketi
Pole nini tatizo mpendwaNimekumiss zaidi mpendwa, habari yangu haijakaa sawa sana.
I need a hug,..
Hahahaahaha, njoo tuone ubishi wako jirani
Hahahaha poti umejuaje napata supu ya samaki lakini perege hapa
Mwaloni nitakuwepo mwezi wa saba mwanzoni
Ni vile AJ kapoteza na Spurs pia.Pole nini tatizo mpendwa
Hongereni bro.Asante tangu Jana tumezipokea mkuu