Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama Mzanzibari, huu Muungano we mkuu unauonaje? Ufikie ukomo muwe huru, ubadilishwe au unapenda uendelee hivi hivi ulivyo?
 
Hivi hii kesi ya Nabii Mwingira iliishia wapi?

Hizi ni cults na mfuasi wa cults hata umwambie nini hatakuelewa.
 
NI suala la muda tu kutimia kuhusu Eden Hazard kutambulishwa huko Real Madrid. Staa huyo wa Chelsea, Hazard ameripotiwa kuchagua tayari jezi atakayovaa huko Bernabeu msimu ujao kwamba ni ile Namba 7 iliyokuwa ikivaliwa na mastaa wa nguvu akiwamo Cristiano Ronaldo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…